Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Huu uwanjan kwani likibaki jina la Aman kunashida gani hadi iwe New Aman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Azam?Maziwa
Uitwe Karume tu kwani shida nini?Huu uwanjan kwani likibaki jina la Aman kunashida gani hadi iwe New Aman
Sawa mchumbaHaya tuangalie gozi leo tunabeba Ndoo
BhangMuda wa Yanga sasa kumiliki
Enjoy footballBhang
MoYa Azam?
Nimecheka sanaHawa Yanga msimu ujao Simba tukisajili ujinga ujinga tutanyanyasika tena.
Azam Wana maanisha ..Wewe subiri Sio muda Fei anafunga mwana ukomeHawa Azam wanasumbua tu Mahakama kama jana Dortmund
Kumbe sio GSM tena kufadhili timu zaidi ya moja kwenye ligi?Hawa Yanga msimu ujao Simba tukisajili ujinga ujinga tutanyanyasika tena.
SIO mkisajiri ujinga sijui nini yaan mwendo ni ule ule Bob Marley Si mmesha msainisha kwa Million 350 na Gari la million 70 mkampaHawa Yanga msimu ujao Simba tukisajili ujinga ujinga tutanyanyasika tena.
Cheka tu boss.Nimecheka sana
We ni Makolo Fc