Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Endelea kucheka,msimu ujao ukifika utaanza kulia na kumlaumu GSMNimecheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kucheka,msimu ujao ukifika utaanza kulia na kumlaumu GSMNimecheka sana
Subiri utambulisho wa kikosi next season.SIO mkisajiri ujinga sijui nini yaan mwendo ni ule ule Bob Marley Si mmesha msainisha kwa Million 350 na Gari la million 70 mkampa
MunyamaaaWe ni Makolo Fc
Sio Yanga tu..Hata Azam Wana kikosi Bora sanaa.Simba sioni kwa uongozi wetu wa kindezi tukishindana na Hawa Jamaa miaka miwili mitatu ijayoHawa Yanga msimu ujao Simba tukisajili ujinga ujinga tutanyanyasika tena.
Mpaka sasa Dk ni ya 44 matokeo ni 0-0.Kumbe sio GSM tena kufadhili timu zaidi ya moja kwenye ligi?
Mwendo ni ule ule tena msipoangalia hata nafasi ya 3 hamtokanyagaSubiri utambulisho wa kikosi next season.
Ndio yenyeweyanga kama madrid
Usikate tamaa mkuu.Sio Yanga tu..Hata Azam Wana kikosi Bora sanaa.Simba sioni kwa uongozi wetu wa kindezi tukishindana na Hawa Jamaa miaka miwili mitatu ijayo
Aende kabla wahasibu hawajapata chakusemaBadoo. Mbakisheni kwanza.
Nilishakata tamaa kitambo Sana kuhusu timu yangu hii pendwa..Usikate tamaa mkuu.
Yanga wafunge turelaxGame inaendelea Yanga kwenye control