Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Game plan hiyo hujaielewa,tuliaKwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game plan hiyo hujaielewa,tuliaKwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
Mumshangaze naniKipindi cha pili tunakuja kuwashangaza
Kama nyie mlivyo pigwa viwili ndani ya dakika 45Kwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
Jirani kumbe umehama 5imba?!Tunawanyoa
Binafsi sifurahushwi na uwanja! Umebana sanaMechi kali ya viwango vya fainali, mikwaju miwili ya Aziz Ki imeipa hadhi mechi.
Nafurahia kuangalia mpira wa ushindani.
Ukiwa wapiMechi kali ya viwango vya fainali, mikwaju miwili ya Aziz Ki imeipa hadhi mechi.
Nafurahia kuangalia mpira wa ushindani.
KitamboJirani kumbe umehama 5imba?!
Karibu sana yanga....Kitambo
Mchumba usilale hapo sebleni gemu bado kabisa HII bado mbiiichi Yanga BingwaSawa mchumba
Unaangalia mpira upi? Yanga ina on target 3 dhidi ya 1 ya Azam halafu unasema mpira mbovu. Kipa wa Azam kacheza michomo zaidi ya mbili.Kwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
Sasa ukiona hivyo Azam ndo wabovu zaidiKwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
🐸 NopKaribu sana yanga....
Kipreee lazima awaueNaomba uniachee
Mchumba usilale hapo sebleni gemu bado kabisa HII bado mbiiichi Yanga Bingwa
Fanya ulale mkweKipreee lazima awaue
weekenge mpira waushindani ukowapi hapo?Mechi kali ya viwango vya fainali, mikwaju miwili ya Aziz Ki imeipa hadhi mechi.
Nafurahia kuangalia mpira wa ushindani.