FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Vs Yanga mechi inakuwa ngumu
Vs Simba mechi inakuwa nyepesi huwezi kuamini kama hawa ndio Azam iliyofungwa goli 3 na Simba.
Mimi naamini Simba ni timu yenye wachezaji wazuri kuliko Yanga, ila Yanga ina utimamu wa kisaikolojia tofauti na Simba au Azam. Mafanikio ya Yanga kwa kiasi kikubwa ni morali wa wachezaji sio ubora wa wachezaji. Tukubali, kisaikolojia Yanga imejengeka vizuri sana
 
Back
Top Bottom