FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Ndio nini hiki sasa?
 
Kama nilivyokukandika 5 mtungi, fatilja historia kijana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yote haya kisa nimesema mnalingana kiuwezo na Singida. Kuhusu kufungana mi nawewe huo sio mjadala ila kufungwa 4 mfululizo sio derby tena ushakua mpinzani wa kawaida kama navyokutanaga na Dodoma Jiji au Tz Prisons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…