Sasa yanga hii na ile iliyofungwa miezi michache iliyopita ina tofauti gani kwani wachezaje wamebadilika si ni wale wale, au kisa mlihonga hizi timu za nbcpl mlizozifunga hivi karibuni kisha mkapangiwa vikosi b wachezaji hawashambulii wala hawakabi hadi kipa wa dodoma jiji akakiri hakuwa na match fitness hajacheza mechi kumi na tatu ndio akaja kupangwa ile mechi na ninyi, uzuri sisi mashabiki wa simba hatuna hiyana sisi kama mna kikosi kizuri huwa tunakubali tu mbona msimu uliopita tulikubali mlikuwa na kikosi kizuri japo mliishia robo cafcl kama simba tu ambao wao walikuwa na kikosi kibovu..mkishinda hizo mechi zote mbili zilizobaki na kutinga robo fainali tutaamini kweli makali yenu yamerudi!!