FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

UMISETA nayo unatamba
Kwani mko nafasi ya ngapi kwenye kundi lenu?

downloadfile-38.jpg
 
Una umri
Ki

Kumbe Leo ndio mmevunja, mmevunja rekodi Leo🤣🤣, wenzenu walishaga toka uko, walishashinda dhidi ya timu imara sio hao waarabu wa mlingotini!
gani? hiyo timu imara mliyoishinda kwao ni ipi? Hujui kuwa hawa CS Sfaxien ndio mabingwa wa kihistoria wa hili kombe ambalo nyie mnajivunia kuvaa medali ya mshindi wa pili?
 
Wanatamani kusema simba wameshinda sababu mwenyeji hakuwa na mashabiki, ila wakikumbuka wao walishenyentwa mbili kwa nunge huku mwenyeji wao naye akiwa hana mashabiki, wanabaki kujifariji tu na kauli yao ya mashindano ya kina mama
umecheza na timu haijashinda mechi hata moja asa ni wapinzani ama wasindikizaji
 
Una umri
gani? hiyo timu imara mliyoishinda kwao ni ipi? Hujui kuwa hawa CS Sfaxien ndio mabingwa wa kihistoria wa hili kombe ambalo nyie mnajivunia kuvaa medali ya mshindi wa pili?
Unazungumzia habari za historia ya miaka 2007,,historia ndio inacheza sasa hivi uwanjani? Current performance yao ikoje kwa sasa,,kama historia inawabeba mbona ni wa mwisho kwenye kundi wakiwa na kiwango kibovu!
 
Pesa tuliopata group stage ya CAFCL
Huko umamani huwezi pata hata ufike final
CAFCL ina hadhi kubwa
Usipende kujilinganisha na CAFCL wakati timu lako lipo mashindano ya akina mama
Huko sisi tumeshafika robo fainali mara tano mfululizo, imagine tulipata pesa kiasi gani wewe mara moja tu tayari umeanza kelele, haya hebu tuone kama utafululiza kwa mara ya pili
 
Unazungumzia habari za historia ya miaka 2007,,historia ndio inacheza sasa hivi uwanjani? Current performance yao ikoje kwa sasa,,kama historia inawabeba mbona ni wa mwisho kwenye kundi wakiwa na kiwango kibovu!
Fuatilia mpira kijana, sio 2007,CS Faxien imetwaa ubingwa Shirikisho 2013,2019 imecheza nusu fainali, na imecheza hadi fainali ya Klabu Bingwa, haya lete rekodi za wale waarabu wachovu mliowafunga kwao tuone kama wanakaribia rekodi za CS Cfaxien
 
Huko sisi tumeshafika robo fainali mara tano mfululizo, imagine tulipata pesa kiasi gani wewe mara moja tu tayari umeanza kelele, haya hebu tuone kama utafululiza kwa mara ya pili
Mlivofika mara 5 mfululizo ndo mkafuzwa na kupelekwa kwenye mashindano ya akina mama 😅
 
mkuu sasa mpira umechezwa hakuna hata shangwe yaani ni kibubu bubu hata mtangazaji hana mzuka kuna mpira mpira hapo ama kuchoshana
Mara hii mmesahau mechi yenu na mc alger, iliyokosa mashabiki kwao na bado mkashenyentwa mbili kwa nunge, yani mashabiki wa hii timu sijui huwa mnatumia nini kufikiri
 
Fuatilia mpira kijana, sio 2007,CS Faxien imetwaa ubingwa Shirikisho 2013,2019 imecheza nusu fainali, na imecheza, haya lete rekodi za wale waarabu wachovu mliowafunga kwao tuone kama wanakaribia rekodi za CS Cfaxien
Nimekuuliza historia yao ndio inacheza uwanjani kwa sasa? Ubovu wao kwasasa Wana tofauti Gani na kengold?
 
Mara hii mmesahau mechi yenu na mc alger, iliyokosa mashabiki kwao na bado mkashenyentwa mbili kwa nunge, yani mashabiki wa hii timu sijui huwa mnatumia nini kufikiri
mkuu mc alger utamfananisha na huyu mfu na ana adhabu juu
 
Angalia mwenyewe mechi 4 point 9.
Wale wengine mechi 4 point 4.
Wastani wa mechi moja point moja ni aibu kwa taifa.
mkuu huko shirikisho point 3 ni moja huku club bingwa (kwa ugumu wa huku )

ukitaka kuamini yanga point 8 ana fuzu ila simba pointi 9 ana baki shirikisho kwenu
 
Back
Top Bottom