FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Hawa wasudani ni kama wanataka waje wamalizane na Yanga tu. Leo sioni kama wanachomoa
 
Nimekuuliza historia yao ndio inacheza uwanjani kwa sasa? Ubovu wao kwasasa Wana tofauti Gani na kengold?
Sasa bila Historia unawezaje kupima ubora wa timu? Utopolo currently imeshinda mechi moja tu Klabu Bingwa, tena na timu dhaifu ambayo haijashinda hata mechi moja. Currently Simba ndio inaongoza ligi ya NBC, sasa kama unazungumzia current performance nisikusikie unasema kwa sasa Utopolo ni bora kuliko Simba
 
Ki

Kumbe Leo ndio mmevunja, mmevunja rekodi Leo🤣🤣, wenzenu walishaga toka uko, walishashinda dhidi ya timu imara sio hao waarabu wa mlingotini!
Wamevuka wapi, mbona wapi chini bado?
 
Mlivofika mara 5 mfululizo ndo mkafuzwa na kupelekwa kwenye mashindano ya akina mama 😅
Sawa na ninyi si mfike hiyo robo fainali mara tano mfululizo kama ni wanaume kweli simba imefika robo fainali ya hiyo michuano ikiwa na kikosi kibovu kabisa ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, ila ninyi na kikosi chenu chote mnachodai ni kipana na hakuna wa kukifunga africa hii ila bado mkaburuza mkia kwenye kundi lenu, na mpaka sasa dalili za kufuzu robo fainali hakuna mmebaki kupiga hesabu za "tuki" na "waki"
 
Sawa na ninyi si mfike hiyo robo fainali mara tano mfululizo kama ni wanaume kweli simba imefika robo fainali ya hiyo michuano ikiwa na kikosi kibovu kabisa ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, ila ninyi na kikosi chenu chote mnachodai ni kipana na hakuna wa kukifunga africa hii ila bado mkaburuza mkia kwenye kundi lenu, na mpaka sasa dalili za kufuza robo fainali hakuna mmebaki kupiga hesabu za "tuki" na "waki"
Basi kubali kuwa Kwa Sasa Makolo wanashiriki mashindano ya akina mama
 
Hawa wasudani ni kama wanataka waje wamalizane na Yanga tu. Leo sioni kama wanachomoa
Wasije jidanganya ni bora wapambane wakitegemea kwa yanga watashangazwa sana hawatoamini kitakacho wakuta kuna mkakati mzito sana unasukwa kwa ajili ya hizi gemu 2 pole yao
 
Yanga ana game na MC alger & Al hilal Omdn
Hilal wana point 9 tayar, vyovyote iwavyo wanasonga mbele.
 
Basi kubali kuwa Kwa Sasa Makolo wanashiriki mashindano ya akina mama
Yani suala siyo kwa sasa simba inashiriki wapi ninyi kote mnakopita simba ilishapita, hapa suala ni kwamba mahali ambapo yanga mnafika mkiwa na kikosi kizuri simba inaweza kufika ikiwa na kikosi kibovu kabisa, msimu uliopita hivyo hivyo mliishia robo mkiwa na kikosi kizuri huku simba ikiishia robo hiyo hiyo ikiwa na kikosi kibovu maana yake nini
 
ivi tp si ndo alikuchapa hapa 4-1

tp ana point 2 huyu koko ana ngap?
Kijana ushaambiwa ile top cream ya mazembe yote msimu huu haipo imeondoka na ndicho kinachowacost, hapa hatuongelei hata ile mazembe ya msimu uliopita iliyofika nusu fainali cafcl, yani kwa kikosi hiki cha mazembe kinachofungwa kwao unajisifu una timu nzuri huyu ndio mazembe unayemjua wewe kweli hebu kuwa serious basi
 
Uko serious kweli?
Mkuu Bravos tulimshindwa hapa nyumbani. Tukapata kagoli ka penalty 1, lkn ukiwaangalia kimchezo walituzidi sana.

Leo wachezaji wao 2 nyota hawajacheza, mmoja majeruhi na mwingine anatumikia kadi.
 
Yani suala siyo kwa sasa simba inashiriki wapi ninyi kote mnakopita simba ilishapita, hapa suala ni kwamba mahali ambapo yanga mnafika mkiwa na kikosi kizuri simba inaweza kufika ikiwa na kikosi kibovu kabisa, msimu uliopita hivyo hivyo mliishia robo mkiwa na kikosi kizuri huku simba ikiishia robo hiyo hiyo ikiwa na kikosi kibovu maana yake nini
Maana yake utopolo ni makopo kutwa nzima makelele kelele
 
Sawa na ninyi si mfike hiyo robo fainali mara tano mfululizo kama ni wanaume kweli simba imefika robo fainali ya hiyo michuano ikiwa na kikosi kibovu kabisa ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, ila ninyi na kikosi chenu chote mnachodai ni kipana na hakuna wa kukifunga africa hii ila bado mkaburuza mkia kwenye kundi lenu, na mpaka sasa dalili za kufuzu robo fainali hakuna mmebaki kupiga hesabu za "tuki" na "waki"
1000315923.jpg
 
Sasa bila Historia unawezaje kupima ubora wa timu? Utopolo currently imeshinda mechi moja tu Klabu Bingwa, tena na timu dhaifu ambayo haijashinda hata mechi moja. Currently Simba ndio inaongoza ligi ya NBC, sasa kama unazungumzia current performance nisikusikie unasema kwa sasa Utopolo ni bora kuliko Simba
Inaongoza kwa point ngapi na kabla ya hapo GD ilikuwa ngapi kwa ngapi?
 
Back
Top Bottom