Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Sasa nyieee, mnaenda kwenye nchi za wenzenu, Wenyeji wanajua afadhali wamepata wawekezaji kumbe mnaenda kuwa vinyozi๐ ๐ ๐ tena wa kuajiriwa, au Car Wash attendants.Hao Wazulu wapigwe ! Tungeyashangilia ila yatasema tunachukua ajira zao. 2-0
Afrika nzima inawaona hawako sahihi! Acha wavune walichopanda! Ukipanda ubaguzi unavuna ubaguzi!! Afrika nzima inashangilia CZE!! Hadi muda huu wameshaanza kuvuna!! Wako nyuma kwa goli 1, na bado!Sasa nyieee, mnaenda kwenye nchi za wenzenu, Wenyeji wanajua afadhali wamepata wawekezaji kumbe mnaenda kuwa vinyozi๐ ๐ ๐ tena wa kuajiriwa, au Car Wash attendants.
Wazulu wapo Sahihi.......
KabisaNawaombea Bafanabafana wafungwe mechi zote, watolewe kwenye hatua ya makundi warudi nyumbani wakaendelee na majukumu mengine ๐ค๐ค
Sauth Africa Wanacheza ovyo sanaHii team iliwezaje kufuzu haya mashindano
Hawako sahihi hakuna sheria zinabariki kuuwa watu na kuchoma mali zao ! Zipo sheria za wakimbizi na wahamiaji either halali au halali jinsi ya kushughulika nao sio kazi ya raia kuwapiga na kuwaua wengine.Sasa nyieee, mnaenda kwenye nchi za wenzenu, Wenyeji wanajua afadhali wamepata wawekezaji kumbe mnaenda kuwa vinyozi๐ ๐ ๐ tena wa kuajiriwa, au Car Wash attendants.
Wazulu wapo Sahihi.......
Dah ๐Ni kweli kabisa, kwenye kikosi kizima cha Afrika ya kusini hakuna mchezaji ambaye anaweza kupata namba na akatamba vizuri kwenye timu ya Yanga au Simba! Labda asajiliwe KMC!