Acha roho mbaya mkuu,na sisi pia tuna moyo.Kwa hiyo baada ya kupondwa kule ndiyo mmekimbilia kuja kuanzisha uzi harakaharaka πππ mnagombea nini na Ligi imeshaisha? Admin ikiwapendeza uzi ufutwe tu unatujazia server π
Halftime
Dodoma jiji 0 - 1 NGUVU MOJA BAO LA FREDDY MICHAEL DK 7.
Mnasemaga hivyo wakarudishwa goli mnaanza kungakaHII NDIO SIMBA NANAYO IJUA MIMI.
Simba sasa imeimarika na inacheza mpira mkubwa na wa kiwango Cha juu mnoo, tukianza na safu ya ulinzi iko imara ikiongozwa na Yeriko che Malone Baba wa ulinzi huyu...