FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

Kanoure ametoka na nafasi yake imechukuliwa na Saido
 
Chasambi anaachia shuti kali ila linatoka nje dk 48
 
Dodoma wanafanya shambulizi hatari kipa wa Simba Abel anacheza.
 
Dk 51 mchezaji wa dodoma yuko chini mechi imesimama.
 
Chasambi anapima umri mtu hapa kwenye boksi la dodoma
 
Dk 59 simba wanapoteza nafasi nzuri ya kufunga kwa kaunta.
 
Saidoo anapiga faulo hatari inagonga mwamba pale na beki anaokoa dk 63
 
Mechi ikiisha hivi Simba na Azam wote watakua na point 60 ila Azam atabaki nafasi ya pili kwasababu ya uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.
 
Back
Top Bottom