Kanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepoMechi ikiisha hivi Simba na Azam wote watakua na point 60 ila Azam atabaki nafasi ya pili kwasababu ya uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.
Umechelewa sanaaaSaa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC
Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu?
Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums
Halftime
View attachment 2992643
Kikosi ch Simba kinachoanza
View attachment 2992645
Kikosi cha Dodoma Jiji kinachoanza
Dodoma Jiji 0 - 1 Simba - Freddy Michael DK 7
Dah! Yaani ndugu zetu mnatafuta ushindi wa mezani kwa kila namna. Hivi kanuni inaanzia kwenye magoli au ni head head kwanza?Kanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepo
Goal difference nasikia ndo cha kwanza.Kanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepo
Kumbuka Azam na Simba head-to-head ilikuwa 1-1 na 0-3
Kanuni ni goal difference labda kanuni zitungwe mpya za kuamua ili kuipa favour Simba. Leo tu limefungwa goli na Freddy aliyekuwa kwenye offside position hivyo sio ajabu kanuni mpya ikaamuaKanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepo
Ligi ya Tanzania inaanza magoli kwanza.Dah! Yaani ndugu zetu mnatafuta ushindi wa mezani kwa kila namna. Hivi kanuni inaanzia kwenye magoli au ni head head kwanza?
Freddy straika anae funga magoli magumu na kukosa magoli mepesi duu..Fred mtu na nusu.....
Ndio maana nikasema msije mkasema hazikuwepo. Kanuni hazitungwi katikati ya mashindano, ni mwanzo tu. Wanaotunga kanuni ni Bodi ya Ligi ambayo ndani yake kuna wawakilishi wa Azam, Yanga, Simba, Coastal Union hadi ihefu ya Singida na Singida ya Mwanza. Wanaelewa walichotungaKanuni ni goal difference labda kanuni zitungwe mpya za kuamua ili kuipa favour Simba. Leo tu limefungwa goli na Freddy aliyekuwa kwenye offside position hivyo sio ajabu kanuni mpya ikaamua
Nawajambisha tu, najua hamna kazi za kufanyaDah! Yaani ndugu zetu mnatafuta ushindi wa mezani kwa kila namna. Hivi kanuni inaanzia kwenye magoli au ni head head kwanza?
Kama goli lile la pili la uto siku ile?Ni kweli na mchezaji wa Dodoma alikua chini kaumia.
Fuatilia vizuri kanuni ya ligi kuu ya Tanzania. Kinachoanza kuangaliwa ni idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa kama point zitalingana.Kanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepo
Kumbuka Azam na Simba head-to-head ilikuwa 1-1 na 0-3
Nimeshasema nawajambisha utopolo wanaofuatilia mechi za Simba.Fuatilia vizuri kanuni ya ligi kuu ya Tanzania. Kinachoanza kuangaliwa ni idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa kama point zitalingana.
Nakupa na mfano kabisa
JKT Tanzania vs Namungo
JKT kaongoza kwa head to head dhidi ya Namungo lakini angalia msimamo wa ligi utaona Namungo ndiye yupo juu ya JKT kwasababu ya goal difference na wala haiangaliwi head to head.View attachment 2992721
wacha simba amalizie kwa swala kashindwa kumkamata nyatiLigi kweli imeisha...
Uzi umesinziaa ..