FT: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Jamhuri | Mei 22, 2024

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji.

Ikumbumbwe katika mchezo wa raundi ya kwanza, Yanga ilipata ushindi wa bao 1, hivyo Dodoma Jiji wataingia wakiwa na shauku ya kulipa kisasi ili wajinasue katika hatari ya kushuka daraja

Mchezo utapigwa katika dimba la Jamhuri na utaanza saa 10.

 
Kila la heri,wananchi,umoja wa mataifa ,mabingwa wa nchi,mabingwa wa kihistoria.Gamond dongo day hoyee
 
Kila la kheri Yanga SC πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š Cc ephen_
 
Kila la kheri Wananchi.
Ni ushindi tu kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…