ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Azam max ila mpaka nyumbani kwako uwe na dish lao.Stream gan twaweza kutazama mech live????
Piman tv au konde tvStream gan twaweza kutazama mech live????
1st eleven
Na hili la kukupa jersey nitalisimamia mwenyewe, tena nitakupa zawadi ya jersey zote za home and awaySimba wanatufanya mashabiki tujae hofu.
Makolo muli bwanji babaa...
Na leo tukifungwa? Nitapokea zawad jersey za uto tu hakuna namna.
Hata mpira wa leo utakuwa hovyoDuh network leo hovyo
Owkey. 😁😁Na hili la kukupa jersey nitalisimamia mwenyewe, tena nitakupa zawadi ya jersey zote za home and away
Uto kwanza fika at least group stage ya CL then tunaweza kuongeaHata mpira wa leo utakuwa hovyo
Kwa mazingira ya uwanja dilunga yupo sawa