FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Hayaa Hayaaa Hayaaa, Mechi Ya Kujipima Uwezo Wao Kabla Ya Kuelekea Bostwana Kwenye CAF champions League, Mechi Ya Kufikisha Alama 4 kwenye Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mechi ya Mtu kufikisha Alama 6 kwenye Ligi kuu Tanzania Bara, Au unaweza Kuita Ni Mechi ya Kurudisha Matumaini Yaliyopotea Kwa Miongoni mwa mashabiki Wa Simba.

Leo Ni muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bora, Ni kati Ya DODOMA JIJI na SIMBA SC kwenye Dimba La Jamuhuri. Uwanja Kidogo Ni wa matumaini Kulinganisha na Ule ma Msoma.

Tuwe hapa kwa Dakika 90 Kushuhudia hicho kipute.

Leo Simba Wataingia Vipi na Watafanya Vipi.

Twende tuone Saa 10:00 Jioni


View attachment 1959301
 
Simba wanatufanya mashabiki tujae hofu.

Makolo muli bwanji babaa...

Na leo tukifungwa? Nitapokea zawad jersey za uto tu hakuna namna.
 
Kila lakheri Dodoma Jiji wapigeni hao makolo hao ili wapoteane zaidi na Mo achomoe betri

2947538_udakutz__1632981805871240.jpg
 
Back
Top Bottom