mtateseka sanaMbona ni kawaida kwa simba kushinda baada ya wapinzani kupunguzwa, tofauti na hapo nothing new to this club
Acha wivu babuSimba na ushindi wa makandokando
Kusanya jezi ukafueNikiwa makolo fc
Sasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzakeWajitahidi wasiwe wanapunguzwa
Ungeingia wewe uwanjani ukaongeze nguvu mana roho imekuuma leo simba kushinda kama umefiwa na baba mzazi,, relax homeboy this is footballMakolo
Sio wivu, hii ni roho ya kisokolokwinyoAcha wivu babu
Ndio maana walipewa 10mHili soka letu bwana. Biashara alikaza kwa Simba Leo kafungwa na Ruvu akiwa Nyumbani kwake.
Timu za saizi yake zinaondoka na points zote.
Na badoSimba na ushindi wa makandokando
Basi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makoloNa bado
Je utopolo inapopita mageti yasio rasmi kuingia uwanjani ni uanaume?Sasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzake
Mpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye magetiJe utopolo inapopita mageti yasio rasmi kuingia uwanjani ni uanaume?
Kwenye pitch bila refa eti utopolo?Mpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye mageti
Kwenye pitch bila refa eti utopolo?
Shabiki maandazi unajiandikia tu pumba.Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani?
Utopolo tatizo lenu hamna uelewa wa mpira ligi ndio tumeanza hapa najua mtawapa TFF lawama mpaka msimu unaisha Simba mnyama gari lishawaka kila atakaekuja mbele kichapo na hizo kadi utaziona sana kwa Mnyama hutaki kachezeshe weweBasi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makolo
Wewe kolo jike, Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani?
Katika mechi 30 basi simba anashinda mechi 20 wakati timu hizo alizoshinda zilikuwa zimepewa redcard hahahaaShabiki maandazi unajiandikia tu pumba.