FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Sasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzake
Je utopolo inapopita mageti yasio rasmi kuingia uwanjani ni uanaume?
 
Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani?
 
Basi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makolo
Utopolo tatizo lenu hamna uelewa wa mpira ligi ndio tumeanza hapa najua mtawapa TFF lawama mpaka msimu unaisha Simba mnyama gari lishawaka kila atakaekuja mbele kichapo na hizo kadi utaziona sana kwa Mnyama hutaki kachezeshe wewe
 
Shabiki maandazi unajiandikia tu pumba.
Katika mechi 30 basi simba anashinda mechi 20 wakati timu hizo alizoshinda zilikuwa zimepewa redcard hahahaa

Na mwaka huu makolo pale hakuna timu, Kilichobaki ni kikosi cha wachimba chumvi na wakata miwa
 
Back
Top Bottom