FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Utopolo tatizo lenu hamna uelewa wa mpira ligi ndio tumeanza hapa najua mtawapa TFF lawama mpaka msimu unaisha Simba mnyama gari lishawaka kila atakaekuja mbele kichapo na hizo kadi utaziona sana kwa Mnyama hutaki kachezeshe wewe
Nimekuambia hivi hii ndo redcard ya mwisho
 
Katika mechi 30 basi simba anashinda mechi 20 wakati timu hizo alizoshinda zilikuwa zimepewa redcard hahahaa

Na mwaka huu makolo pale hakuna timu, Kilichobaki ni kikosi cha wachimba chumvi na wakata miwa
Gari lishawaka hakuna wakutuzia tena UTOPOLO mjiandae kisaikolojia kuwatukana TFF msimu mzima ukiona Simba inacheza tulia kama unanyolewa hutaki njoo uchezeshe wewe
 
Nimekuambia hivi hii ndo redcard ya mwisho
Nikisema UTOPOLO wote hawajui mpira hivi nitakuwa nakosea wakati ndio kwanza mechi ya pili unaanza kuleta utabiri wa manyau nyau eti kadi ya mwisho gari limeshawaka kwa Mnyama mkali jiandae kisaikolojia Bingwa hafungwi kizembe
 
Ww kolo jike hii ndo redcard ya mwisho kwahyo huko mbele mjiandae maumivu tu
Shabiki la timu kongwe linapojifariji. Kama leo hukujua kuna red basi red tegemea zingine shabiki la timu kongwe.
 
Gari limewaka kwa ushindi huu wa kisokolokwinyo mkuu

Andaeni haya maumivu
 
Basi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makolo
Kwa hiyo wewe ulitaka mpaka afe mtu uwanjani ndo itoke red card au sio,,, au kadi nyekundu kwenye mpira hakuna?,,,,, hata mwaka jana uto mliongoza ligi karibia robo tatu ya msimu mwisho wa siku mkaangukia pua
 
Bingwa gani?, kwa hii timu ya wavunja kuni na wakata miwa
Hawataki kukubali kwamba hawana timu mwaka huu angalia Leo kila mtu kacheza lakini bado tu unaona tatizo ni Lile Lile kiungo mshambuliaji timu hair namba kumi kabisa.
 
Tumegundua wachezaji wa simba wakichoka wanajipigisha kwenye viwiko vya wapinzani ili timu wapewe redcard wapungue ndio simba wapate ahueni

Hii ni timu ya wavunja kumi na wakata miwa
 
Mabingwa mara 4 mfululizo wa liguu ya tanzania bara au hujui na hili nalo unabisha wee kweli mwna wa UTOPOLO
Ww kolo jike hujui kwamba an Era has fallen down Na Sasa Kilichobaki Timu wa wavunja kuni na wakata miwa
 
Haya sasa hapa wanasimba tunaweza kushinda hii game baada hawa Dodoma Jiji kupungua uwanjani, tofauti na hapo hii tulikuwa tunafungwa

Twendeni tukashinde kipindi cha pili wanasimba wenzangu baada ya refa kurahisisha kaz
Toka hapa utopolo wewe
 
Ww kolo jike hujui kwamba an Era has fallen down Na Sasa Kilichobaki Timu wa wavunja kuni na wakata miwa
Umeuliza mabingwa nani nikajibu Mnyama mara 4 mfululizo unaanza kuongoea utopolo wako mtaumia sana kama mlikuwa mnadhani Simba itakuwa kama utopolo huko tulishatoka kitambo Simba ni Simba hata akizzeka hawezikuwa fisi
 
Umeuliza mabingwa nani nikajibu Mnyama mara 4 mfululizo unaanza kuongoea utopolo wako mtaumia sana kama mlikuwa mnadhani Simba itakuwa kama utopolo huko tulishatoka kitambo Simba ni Simba hata akizzeka hawezikuwa fisi
Sawa mashabiki wa timu ya wavunja kuni duniani
 
Hili soka letu bwana. Biashara alikaza kwa Simba Leo kafungwa na Ruvu akiwa Nyumbani kwake.
Timu za saizi yake zinaondoka na points zote.
Leo ilibidi afungwe kirahisi tu. Alitumia nguvu zake zote kuwazuia simba!! Hjo mchoko lazima uwacost!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…