Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Nimekuambia hivi hii ndo redcard ya mwishoUtopolo tatizo lenu hamna uelewa wa mpira ligi ndio tumeanza hapa najua mtawapa TFF lawama mpaka msimu unaisha Simba mnyama gari lishawaka kila atakaekuja mbele kichapo na hizo kadi utaziona sana kwa Mnyama hutaki kachezeshe wewe