Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Sema basi machampion wa kandanda wa tanzania mara 4 mfulululizo na mimi mkishinda japo mara 2 mfulululizo kwa miaka hii nitawaita hivyo najua hata mwenyewe unajua haiwezekaniSawa mashabiki wa timu ya wavunja kuni duniani
Anakuja nani? kwa hii timu ya wavunja kuniUtopolo pole kwa kuteseka!! Hakuna namna usiyempenda anakuja!!
Naanzaje kutuliaTulia dada
Kwasababu umeanza kushabikia mpira kipindi hiki cha Azam TV sio kosa lako wewe kolo jikeSema basi machampion wa kandanda wa tanzania mara 4 mfulululizo na mimi mkishinda japo mara 2 mfulululizo kwa miaka hii nitawaita hivyo najua hata mwenyewe unajua haiwezekani
Hilo kolo la mwarabu wa nguruka hata halinogi kitu utopolokwinyoMpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye mageti
Acha hasira mlitaka tufungwe ila ndo dua za kukuKwasababu umeanza kushabikia mpira kipindi hiki cha Azam TV sio kosa lako wewe kolo jike
Kolo jikeHilo kolo la mwarabu wa nguruka hata halinogi kitu utopolokwinyo
Asingepiga kiwikoSasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzake
Najua unajua wazi haiwezekani UTOPOLO alitawala mpira miaka ya 2016 kuchukua mara 3 mfulululizo sababu kubwa ilikuwa Simba mbovu lakini kwa Simba hii huna uwezo wa kuchukua mara 2 mfulululizo huna jeuri hiyoKwasababu umeanza kushabikia mpira kipindi hiki cha Azam TV sio kosa lako wewe kolo jike
Yaani kolo yeyote lazima niwe roho ya kisokolokwinyoAcha hasira mlitaka tufungwe ila ndo dua za kuku
Kwani simba hii ya wakata miwa na wavunja kuni ni nzima hahahaNajua unajua wazi haiwezekani UTOPOLO alitawala mpira miaka ya 2016 kuchukua mara 3 mfulululizo sababu kubwa ilikuwa Simba mbovu lakini kwa Simba hii huna uwezo wa kuchukua mara 2 mfulululizo huna jeuri hiyo
😁😁 SSC 4 life. TuliaNaanzaje kutulia
polisi tz then coastal union katika ligi kuu mechi zote BW MKAPAKwani simba hii ya wakata miwa na wavunja kuni ni nzima hahaha
Mtani Iblis Bin Shetan match ijayo mnacheza timu gani?
Sawa mkuu kila lenye kheripolisi tz then coastal union katika ligi kuu mechi zote BW MKAPA
100%Sawa mkuu kila lenye kheri
Danga umeumia Simba kushinda leo?Mpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye mageti
Mm huwa naumia timu yangu ikifungwa na siyo mpinzani akishindaDanga umeumia Simba kushinda leo?
"The return of champion"Mm huwa naumia timu yangu ikifungwa na siyo mpinzani akishinda
Na mwaka huu sina cha kuhofia Coz timu yangu itashinda mechi zote za ligi kuu na Kombe la shirikisho na sioni mechi ya kupoteza
Ahadi ya pesa na kuimiza wachezaji. Mipango ya Yanga haina ubishiDodoma jiji huwa wanapenda kucheza sexy football sijui kwanini leo wameamua kuwa wahuni namna hii
Wamenishangaza sana
Alafu unajua uzuri majina yao yote wameyatoa wenyewe,, hilo jina alilolitoa msukule siku ya utambulisho hata alinogi,, kitu utoponga, nyani fc, utaputapu fc 🤣Hilo kolo la mwarabu wa nguruka hata halinogi kitu utopolokwinyo