FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Sawa mashabiki wa timu ya wavunja kuni duniani
Sema basi machampion wa kandanda wa tanzania mara 4 mfulululizo na mimi mkishinda japo mara 2 mfulululizo kwa miaka hii nitawaita hivyo najua hata mwenyewe unajua haiwezekani
 
Sema basi machampion wa kandanda wa tanzania mara 4 mfulululizo na mimi mkishinda japo mara 2 mfulululizo kwa miaka hii nitawaita hivyo najua hata mwenyewe unajua haiwezekani
Kwasababu umeanza kushabikia mpira kipindi hiki cha Azam TV sio kosa lako wewe kolo jike
 
Kwasababu umeanza kushabikia mpira kipindi hiki cha Azam TV sio kosa lako wewe kolo jike
Najua unajua wazi haiwezekani UTOPOLO alitawala mpira miaka ya 2016 kuchukua mara 3 mfulululizo sababu kubwa ilikuwa Simba mbovu lakini kwa Simba hii huna uwezo wa kuchukua mara 2 mfulululizo huna jeuri hiyo
 
Danga umeumia Simba kushinda leo?
Mm huwa naumia timu yangu ikifungwa na siyo mpinzani akishinda

Na mwaka huu sina cha kuhofia Coz timu yangu itashinda mechi zote za ligi kuu na Kombe la shirikisho na sioni mechi ya kupoteza
 
Hilo kolo la mwarabu wa nguruka hata halinogi kitu utopolokwinyo
Alafu unajua uzuri majina yao yote wameyatoa wenyewe,, hilo jina alilolitoa msukule siku ya utambulisho hata alinogi,, kitu utoponga, nyani fc, utaputapu fc 🤣
 
Back
Top Bottom