FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Makes sense

Halafu umsisahau mfadhili wao Mavunde pamoja na engineer Hersi ambaye ni mzaliwa wa Dodoma.

Hawa ni tawi la utopolo
Sio makes sense mkuu... Hiyo ni fact 100% zile 10M alizotoa happi na hizi alizoahidi mavunde leo zinatoka GSM! Kwanini biashara wasipewe/kuahidiwa hizo hela waliposhinda mechi za CAF???
 
Hili soka letu bwana. Biashara alikaza kwa Simba Leo kafungwa na Ruvu akiwa Nyumbani kwake.
Timu za saizi yake zinaondoka na points zote.
 
Hawa Dodoma walistahili redcard kama tatu,wachezaji watu wa Simba wametolewa majeruhi
 
Simba take 3 points but Dodoma Jiji take our heart
 
Sio makes sense mkuu... Hiyo ni fact 100% zile 10M alizotoa happi na hizi alizoahidi mavunde leo zinatoka GSM! Kwanini biashara wasipewe/kuahidiwa hizo hela waliposhinda mechi za CAF???
Halafu sisi hata hatulalamiki, tuna focus tu na timu yetu.

Ingekuwa upande wao sasa, Year-lebela angeshafanya press conference.
 
KUTOKA TANZANIA YA VITUKO VYA SIASA HADI KWENYE MPIRA

📝Kwa akili ya haraka haraka tu!! Team imeshinda mechi mbili za kimataifa na kufuzu hatua inayofuata lkn hawakupewa hata senti kumi ya MOTISHA!!!

📝Ndo waje wapewe MOTISHA milioni 10 kwenye league tena mechi waliotoka sare!!!

📝Biashara United wametoa wapi hiyo hela!! Kwa nn wasingewapa wachezaji motisha kwa kushinda mechi za kimataifa waje wapewe kwenye league!!

📝Team almanusura ishindwe kusafiri kwenda Djibouti 🇩🇯 kwa ajili ya mechi sababu ya UKATA na kuja kufanikiwa kusafiri siku ya mechi baada ya kuhangaika sana!!!

📝Leo hii et anatoka mtu anasema anatoa MOTISHA million 10!! Alikuwa wapi hapo awali!!

📝Na bado michezo yote Simba SC Tanzania watakayocheza ya TPL basi timu pinzani watapata Bonus Endapo watabahatika kupata Sare... au kushinda.... hii ishaeleweka na nawajuza tu mashabiki ambao mulikuwa hamujui...

📝Simba wapo ktk vita nzito ili kutetea ubingwa wake na wanatakiwa kuelewa ivyo... na sina shaka na uongozi wa Simba chini ya Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Try Again nadhani washalijua hilo......

kwenu studio🤸‍♂️🤸‍♂️🏃‍♂️
#Dibahvansports

"FUMBO MFUMBIE MJINGA MWELEVU ATAVUMBUA TU"

NB:-Ukiwa Mwanasimba na shabiki wa Simba hutoacha kushare post hii kwenye magroup ya simba yote ili iwafikie wahusika..

Wacha tuendelee.
 
Simba kufanya vizuri Champions league itahitaji muujiza kama wa Kaizer Chiefs msimu ulioisha.
 
Motisha zinaua soka la bongo maana si kwa rafu zile
 
Hii ndio Simba yenye wiki ya saba kuanzia pre season mbaka sasa na msimu huu wa mashindano ya CAF tunatarajia itafika nusu fainal ya Caf champion league.
 
Hili soka letu bwana. Biashara alikaza kwa Simba Leo kafungwa na Ruvu akiwa Nyumbani kwake.
Timu za saizi yake zinaondoka na points zote.
Hizi timu ndogondogo hujitutumua sana zinapocheza na timu kubwa, huwa zinadhani wakishinda watapata pointi 6 badala ya 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…