Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaumiaDk 63
Thadeo Lwanga anatoka
Kagere na dunkan nyoni wanaingia
NoKaumia
Mashabiki wa kweli hawahami timu best. Yanga walikua na misimu mi4 mibovu uliona wanahama?Simba wanatufanya mashabiki tujae hofu.
Makolo muli bwanji babaa...
Na leo tukifungwa? Nitapokea zawad jersey za uto tu hakuna namna.
Tatizo ni ile ahadi ya mkuu wa mkoa wao ambae ni mwanachama mtiifu wa wananchi... Nafikiri kuna mengi sana nyuma ya hizi ahadi kama ile iliyotolewa na RC wa mara kwa biashara!Dodoma jiji huwa wanapenda kucheza sexy football sijui kwanini leo wameamua kuwa wahuni namna hii
Wamenishangaza sana
Mkuu yani watu wanacheza mechi zao afu wanacheza na wenzao 😂😂😂Wanaofungwa ni Dodoma Jiji wanaoteseka wengineeee😅