FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Dodoma jiji huwa wanapenda kucheza sexy football sijui kwanini leo wameamua kuwa wahuni namna hii

Wamenishangaza sana
Tatizo ni ile ahadi ya mkuu wa mkoa wao ambae ni mwanachama mtiifu wa wananchi... Nafikiri kuna mengi sana nyuma ya hizi ahadi kama ile iliyotolewa na RC wa mara kwa biashara!
 
Back
Top Bottom