Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Hii piman tv n channel gan inaonyesha mpira wa kibongo??Piman tv au konde tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii piman tv n channel gan inaonyesha mpira wa kibongo??Piman tv au konde tv
Naona Gomez timu inataka kumshinda! hii style anayotumia simba hawata kaa wafanikiwe! wanapoteza mipira mingi mnooSimba Sijui hata Tunacheza nini? Haijulikani Formation wala style tunayocheza
Hamuwezi kwa mpira huu
HahahahahaJamaa amekimbia uzi..sasa hivi anaangaika kutafuta namba za mabank teller wa kike..kaprint businness card 100.
Pole Vumilia tuu ushavulia maji nguoNipo Uwanjani najuta bora ningeenda tu kutembea sehemu nyingine
Pole Vumilia tuu ushavulia maji nguo
maji au Mayombi?Pole Vumilia tuu ushavulia maji nguo
Bila shaka sasa mnawezakushinda japo ushindi hauna tija kwakua nguvu ya dodoma ishapunguaNipo Uwanjani najuta bora ningeenda tu kutembea sehemu nyingine
Umekaa cha wapiNipo Uwanjani najuta bora ningeenda tu kutembea sehemu nyingine
Mayombi Tena jaman 😂😂😂maji au Mayombi?