FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

Lile ni goli?
Angalia kipyanga cha mwisho

Pia hiyo ni ishara kua leo mmebebwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapaziaaa, hangaikaa na team lako linalopoteana kila Leo.
 
Mechi ya pili mfulululizo Simba Ina sababisha marefa wadhalilike. Makosa ya kibinadamu yamekua yakiongezeka.
Endeleaa kutesekaaaa, poleeeee wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom