FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Hii ndio Simba ya kwenda kushindana kombe la shirikisho🀣🀣🀣 mbinu za kocha kuifungua timu iliyo vizuri ni ovyo tu, timu inacheza pungufu but uoni tofauti yoyote ya timu pungufu na timu iliyokamilika, na bado wanacheza na al hilal iliyopungua UBORA wake kwa kiasi likubwa sana na bado wanaenyeka namna hii!
 
Hataaaaaaa kombe la pikpik awatakiwiiii
 
Makolo ni chupi ya malaya kila mtu anaivua na kupiga tobo refa kawabeba kachoka
 

Kilio kutoka kwa dada wa mbeya na keki zake πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🀣 😁 😁 😁 😁 😁
 
Mkuu mbona maelezo yasiyohusiana, mchezaji gani wa Simba aliyepewa red? Au sisi Simba tumeamua tu kupunguza mchezaji mmoja kwavile ni mechi ya kirafiki?
 
Bado hakuna timu, hata kuingia makundi nina mashaka
πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…