FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Lengo la kuwa na Friendly Match Limetimia..!

Hapa Matokeo ilikuwa sio priority..! Hapa ni kuwapa nafasi Wachezaji ndo ilikuwa priority..!

Sisi Mashabiki wa Ukweli wa Boli Nyoyo Zetu Kwatuuu..!
 
Friendly match lakini wavimba macho wanakomaa utadhani ilikuwa UEFA champions league.

Hata kocha Fadlu kasema kafurahishwa na matokeo, wewe mshika hirizi unakenua nini?
 
Friendly match lakini wavimba macho wanakomaa utadhani ilikuwa UEFA champions league.

Hata kocha Fadlu kasema kafurahishwa na matokeo, wewe mshika hirizi unakenua nini?
Friend match inatoa mwanga wa timu yako ilivyo, kimbinu na kiufundi, kichaka cha friend match usingekisema kama ungeshinda, uyo kocha anajua timu yake Ina kibarua kwa maana anavyocheza ligi ndio ivyo ivyo anavyoaproach kucheza mechi za kimataifa ni tatizo mtakuja kumkataa siku sio nyingi, mbinu hana uyu kocha wenu ni empty!
 
Friendly match lakini wavimba macho wanakomaa utadhani ilikuwa UEFA champions league.

Hata kocha Fadlu kasema kafurahishwa na matokeo, wewe mshika hirizi unakenua nini?
Yanga ilitaka tuwalipie kisasi hawajui kuwa hawa ni 'rafiki zetu'🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…