FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Friendly match lakini wavimba macho wanakomaa utadhani ilikuwa UEFA champions league.

Hata kocha Fadlu kasema kafurahishwa na matokeo, wewe mshika hirizi unakenua nini?
 
Friend match inatoa mwanga wa timu yako ilivyo, kimbinu na kiufundi, kichaka cha friend match usingekisema kama ungeshinda, uyo kocha anajua timu yake Ina kibarua kwa maana anavyocheza ligi ndio ivyo ivyo anavyoaproach kucheza mechi za kimataifa ni tatizo mtakuja kumkataa siku sio nyingi, mbinu hana uyu kocha wenu ni empty!
 
Friendly match lakini wavimba macho wanakomaa utadhani ilikuwa UEFA champions league.

Hata kocha Fadlu kasema kafurahishwa na matokeo, wewe mshika hirizi unakenua nini?
Yanga ilitaka tuwalipie kisasi hawajui kuwa hawa ni 'rafiki zetu'🤣
 
Back
Top Bottom