FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Al Hilal wameacha kukabia juu na kuwaruhusu Simba wafike karibu na 18 yao ili wakipokonya mpira wafanye counter ataki
 
Simba hakuna huo uchafu
Screenshot_20240831-162311.png
 
Nadhani kuanzia leo hakutakuwa na lawama kwa kocha atakapokuwa anamuweke Chasambi kwenye mbao.

Ni promising talent, lakini kwa namba anayocheza hafai kwenye competitive games.
 
25'

Kona Simba tunapata
 
Fernandes anachonga kona
 
Back
Top Bottom