Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mechi ya kirafiki tu, hakuna haja ya kukasirikano VAR Jamaa wamenunua game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ya kirafiki tu, hakuna haja ya kukasirikano VAR Jamaa wamenunua game
Simba yupo na mimi mkuu ,yanga yupo peke yake😁Wewe ni Simba au Yanga mboni naona km unachezesha Miguu yote?
Bei gani tumchangie mchango Mimi natoa nusu..Babu acha ubahili tulipie platinum member
Mimi ni 5imba☺️Simba yupo na mimi mkuu ,yanga yupo peke yake😁
Leo simba hachezi na fountainKuna mashabiki wa simba wameshangilua hadi kupaliwa na mate 🤢🤢🤢
Hata mechi ya kirafiki refa anachezesha kwa maelekezoMavambo mmoja sawa na Yanga nzima mbaka benchi
Nalipa mwenyewe naimudu nipewe utaratibLaki 5😉
Nawe acha uongo wako unatuharibia uzi wetu, mvuto wa mapenzi mjini dawa yake pesa tu.MVUTO MKALI WA MAPENZ CHUKUA IVI.
1.Mafuta ya mzaitun.
2.Mafuta ya bint sudan
3.Na hii Misk
Changanya kwa pamoja kisha tumia kupakaa wakat unatoka aut pakaa kwa manuwiz nakwambia utakuwa na mvuto mkali wa mahaba kama ww ni mwanamke utatongozwa hadi na VIBABU sana na kila mwanaume atakuona una mvuto wa mahaba.Hii tiba wana tumia sana wadada wanao danga kuvutia wanaume wawapende kimapez.Pia ata mwanaume unae kataliwa na kila mwanamke tumia tiba hii itakusaidia kupendwa sana na wanawake hakikisha wakupe og tu.Matumiz kuwa unapakaa uku unanuwia tu.
Dk pdidy
Al hilal Hawa Hawa Ambao hawana ligi yenye maana kutokana na Vita huko Sudan ndoo mnakuja kusema wamoto ...Cheza mechi zako ila timu yako baado haiko stable tuwape mda ila badoNgoja nimuone huyu Ateba ana kipi cha kumzidi Mukwala.
Tayari kwangu Mukwala ame earn trust yangu kwa jinsi nilivyonionesha fighting spirit japo kuwa hakuwa na bahati ya kufunga
Kama kocha ni kweli huyu Ateba ndio alikuwa amemchagua nitaenda kuona ana kipi cha tofauti