Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Hata Mimi nimelimisi dimba la kirumba linalobeba mashabiki wengiiiKila la kheri Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169] tulimiss Sana kucheza uwanja WA nyumbani CCM Kirumba [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndo hivyo mzee nyota ya aziz akifukiwa ndo maana kila anachofanya kilikua kinaenda kushoto alafu yule dogo kila anachofanya kinamuendea vizuri mpk wachambuzi wakaanza kusema ile 400M tumepigwa
HT hadi sasa Ihefu wana 1.Aahaaaa,Yanga ndo Kila kitu
Na naomba Leo waukalie
Kihasibu hii tuna iitaje?Geita wasipoingia tamaa wanaweza kupata hata droo
umepigwa wapi?Yote kwa yote 400k mmepigwa
Aahàaaa,ayaHT hadi sasa Ihefu wana 1.
AahaaaBasi mtajazana hapa kujiongelesha kuhusu timu yenu utafikiri sie wengine timu hatuna