FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

Uzuri mimi siyo mnafiki. Tokea mwanzo nilishasema. Yanga hii ndiyo ninayoifahamu. Ile Yanga iliyocheza dhidi ya Ihefu nilishaitilia mashaka tangu mwanzo.
Mimi nakumbuka ulikata tamaa kabla hata ya mchezo kuanza. Ila mimi nimefurahi tulipoteza.
Kwa kupoteza mchezo ule unaweza ukaona kupitia mchezo wa leo jinsi wachezaji walivyobadilika na kuweza kucheza na timu zinazo wakamia.
Jata ukiangalia magoli ya leo ambayo Yanga imeyapata, kamwe Geita hawalaumiki, sababu unaona vile Yanga imepamnana kuyapata na ukuta wa Geita ni kipumo kizuri kwa Yanga.
Game on, nusu ya pili jiandaeni kushuhudia goli nyingine 4 zikiingia na kupelekea mchezo wa leo kuwa na magoli 6.
 
Kwani kuna yanga ngapi mkuu, Diara alikuwa golini kule Mbarari, Mzize alikipiga hali kadharika Azizi ufunguo alikipiga na wengi wengine na walipangwa na Gamond mwenyewe, iweje wewe uikane hiyo yanga?
Uzuri mimi siyo mnafiki. Tokea mwanzo nilishasema. Yanga hii ndiyo ninayoifahamu. Ile Yanga iliyocheza dhidi ya Ihefu nilishaitilia mashaka tangu mwanzo.
 
Back
Top Bottom