FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

Huu mchezo wanaocheza Geita wameuiga kwa Simba, Hopeless kabisaa[emoji706]
Kuna mchezaji anaitwa Taliq Seif, mwenye Rasta, jamaa amepwaya sana, nadhan amegusa mpira mara 3 tangu mpira uanze.

Na goli la kwanza la yanga kosa limeanzia kwake.
 
Geita washajichokea zao mapema iii ... sasa wanavokaa nyuma sijui wanazuia nini
 
Aziz [emoji360][emoji360][emoji360][emoji360][emoji360][emoji360][emoji360][emoji360][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
 
Back
Top Bottom