FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

Kwani simba ndio yupo uwanjani? Mbona naona papatu tu
 
Skudu, Konkoni, Musonda, Mkude ndiyo Yipke & Surpong wetu safari hii
 
Naona maguri kashajivunja kama tulivyokubaliana hapo jana,wakati wa makabidhiano ya burungutu
 
Naona maguri kashajivunja kama tulivyokubaliana hapo jana,wakati wa makabidhiano ya burungutu
 
Timu zote zikicheza na Yanga ya Gamondi zinapaki bus, zikiongozwa na Simba. Ihefu watoe hapo[emoji23][emoji23]
 
Mbonaaa kimyaaaa.
Kitaa hakuna kelele kabisa Leo.
Mna uhakika utopolo tunacheza Leo?
 
Huu mchezo wanaocheza Geita wameuiga kwa Simba, Hopeless kabisaa[emoji706]
 
Back
Top Bottom