kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
'Cotton' anawachora tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo bado Mudathir alikuwa Offside lakini kibendera akaruhusu kona.Gooooooa lah lah inaenda nje, lango la Geita liko kwenye misukosuko
waliongoza masaa hata 24 hayajaisha wakashushwa [emoji1787]Ivi makolo bado wanaongoza ligi mbona hawaweki msimamo humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha aruhusu tu mbona bocco juzi alifunga la offside na kibendera aliruhusu? Unaona wivu Yanga nao kunufaika na goli za offside?Na hapo bado Mudathir alikuwa Offside lakini kibendera akaruhusu kona.
Hawa Geita si ndio mlipata penalty msimu uliopita ambayo ilikuwa nje ya box kabisa.Wacha aruhusu tu mbona bocco juzi alifunga la offside na kibendera aliruhusu? Unaona wivu Yanga nao kunufaika na goli za offside?
Naona Johora hakuanza, Geita wamebadili golikipa kabla mechi haijaanza ili kuondoa lawama kwa johoraJohora mpaka sasa yupo Vizuri..
Mungu yupi?Tuna muachia mungu
Eeh ni kama tu Lile goli la juzi la bocco lililokuwa offsideHawa Geita si ndio mlipata penalty msimu uliopita ambayo ilikuwa nje ya box kabisa.
Lile halikuwa offside acha kushupaza shingo hapa. Hasira za Ihefu zisikuchanganye kabisa.Eeh ni kama tu Lile goli la juzi la bocco lililokuwa offside
Bado hujasema[emoji23][emoji23][emoji23]Tayari Elias Maguli kala hela.
Naitakia ushindi Yanga. Ila kwa leo watanisamehe. Sitaangalia hiyo mechi. Matokeo nitayapata hapa hapa jukwaa la michezo.