Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heavy Duty!!
Geita wakifunguka wamekwisha.Kwa kikosi kama hiki, hata tulifungwa siwezi kumlaumu kocha. Ila siyo kile kikosi alichokipanga dhidi ya Ihefu. Ule ulikuwa ni utani uliopitiliza.
Sio rahisi MkuuYanga ikipata sare huu mchezo gamondi aishie uko uko arud kwao ajentina
Leo sare atupati ni ushindi tuYanga ikipata sare huu mchezo gamondi aishie uko uko arud kwao ajentina
Hatutaki visingizio mbele ya safari.
Kikosi kimekamilika. Hatuna kisingizio.Semeni kabisa kuhusu kikosi hatutaki lawama baadae.
Siyo kweli. Fuatilia upya.Utafiti wangu unaonesha Yanga ina mashabiki wengi sana mikoani ukilinganisha na timu zingine hapa Tanzania