DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
sisi ndio Geita Gold tulimpasua Ihefu.... Yanga njoon tuwapakate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkude yupo wapi?
Kwa kikosi hiki, hata tukifungwa siwezi kumlaumu kocha. Ila siyo kile kikosi alichokipanga dhidi ya Ihefu. Ule ulikuwa ni utani uliopitiliza.
Kabisa kakaKwa kikosi kama hiki, hata tulifungwa siwezi kumlaumu kocha. Ila siyo kile kikosi alichokipanga dhidi ya Ihefu. Ule ulikuwa ni utani uliopitiliza.
Tate Mkuu kasema hili kosi hana malalamiko kwa Kocha!!!Semeni kabisa kuhusu kikosi hatutaki lawama baadae.