Clean sheets nyingine, Kuna wale wanashinda ila sheet lmechanika .
Sijazungumzia unbeatan hapo Kwenye cleensheat ndo ttzo lilipo.Unbeaten ya ngapi?
Mzize anatakiwa atoke ,kipindi Kimoja kinamtosha
Atoke angie nani? Kati ya ufala Yanga waliufanya ni kutosajili mbadala wa MayeleMzize anatakiwa atoke ,kipindi Kimoja kinamtosha
Unbeaten bila kombe ni futuhiUnbeaten ya ngapi?
Huyu huyu aliyeshindwa funga hapa kwenye 18Max ni Mchezaji mwenye akili nyingi kama Messi
Unamzungumzia max huyu aliyefunga goli hapa?Huyu huyu aliyeshindwa funga hapa kwenye 18
Huyo huyoUnamzungumzia max huyu aliyefunga goli hapa?
HahahahahaHuyu huyu aliyeshindwa funga hapa kwenye 18
Pyramids waliwafunga nani hapo Kirumba.Yanga atafungwa taifa lakini sio kirumba kila timu haikuwahi kupona