Na mwishoni mwa msimu utashangaa inacheza play off.Amepigwa na KMC
FT:
KMc 1 Ihefu 0
Ahueni waliingia baada ya timu kujihakikishia ushindi. Ingekuwa ndiyo wameanza, yangetukuta kama yale ya Mbarali.Mabadiliko yaliyofanywa yamepelekea Yanga kupoa kabisa kama vile sijui ni timu ngeni kabisa aliingia.
Konkoni anazurura tu kama gogo
Konkoni ni mzigo wa mwiba Bora Yanga tungemsajili Yule Lupia wa Singida fountain gate.... Jamaa watu walimbeza kisa anacheza Ligi ya Kenya ... Lakini Yule jamaa ni mnoma.. ikiwezekana atue Jangwani dirisha dogo...Mabadiliko yaliyofanywa yamepelekea Yanga kupoa kabisa kama vile sijui ni timu ngeni kabisa aliingia.
Konkoni anazurura tu kama gogo
Muda umefika sasa Gamondi atengeneze kikosi cha kwanza, haiwezekani tunaona kila siku kuna wachezaji wanapanda viwango, lakini wengine wanaporomoka kwa kasi na kushindwa kuendena na mfumo wa timu.Ahueni waliingia baada ya timu kujihakikishia ushindi. Ingekuwa ndiyo wameanza, yangetukuta kama yale ya Mbarali.
Kikosi cha Kwanza ndo kile kilichoanza sema mapungufu nayaona Kwa winga ya kushoto kuna muda unakuta hamna mtu....Muda umefika sasa Gamondi atengeneze kikosi cha kwanza, haiwezekani tunaona kila siku kuna wachezaji wanapanda viwango, lakini wengine wanaporomoka kwa kasi na kushindwa kuendena na mfumo wa timu.
Mziki mzito sana huu ulioanzaYanga wameanza na kikosi chote
Al Ahly ni 🦍 hata upeleke mechi manta hawaogopiHata game ya ali ali [emoji23] muipeleke huko.
sisi ndio Geita Gold tulimpasua Ihefu.... Yanga njoon tuwapakate
Kipimo kinakuja hata huyo Zawadi mtamkanaKikosi cha Kwanza ndo kile kilichoanza sema mapungufu nayaona Kwa winga ya kushoto kuna muda unakuta hamna mtu....
Lakini pia pale beki wa Kati inabidi afanye kitu Gift Fredi awe anacheza
Sawa dunduka tutamfukuza tumchukue Mgunda haya umefirahiiiii!!Nabii gani anaongea uongo?
Kule Mbarari kapigwa kisha akaja kududanganya kuwa alipigwa viwili kwa bahati mbaya [emoji28]
Kwa nini tuendelee kumwamini?
Hafai kabisa.
Acha kujiteteaa kila.mtu unaangalia hii game mashambulizi ni makali sana geita wamepark bus lakini kichapo kinaendeleaUnategemea nn kwa Uto B?
CPA OKWIBOBANSUNZUKuna accountant akikusikia.
Kabisa Mkuu. Yanga Ina confidence kubwa sana kucheza na waarabu na wao wanajua hili.Zama zimebadilika, Yanga ya sasa ndio timu inayoogopwa zaidi na waarabu hapa duniani.
Ambae aliamua wew ukose kombe lolote msimu uliopitaMungu yupi?
Na wanatuogopa sanaKabisa Mkuu. Yanga Ina confidence kubwa sana kucheza na waarabu na wao wanajua hili.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ndo maana wamepoteana humuwaliongoza masaa hata 24 hayajaisha wakashushwa [emoji1787]
Kipofu kaona mweziiii [emoji23]Kila la kheri Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169] tulimiss Sana kucheza uwanja WA nyumbani CCM Kirumba [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]