FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

Mabadiliko yaliyofanywa yamepelekea Yanga kupoa kabisa kama vile sijui ni timu ngeni kabisa iliingia.
Konkoni anazurura tu kama gogo
 
Mabadiliko yaliyofanywa yamepelekea Yanga kupoa kabisa kama vile sijui ni timu ngeni kabisa aliingia.
Konkoni anazurura tu kama gogo
Ahueni waliingia baada ya timu kujihakikishia ushindi. Ingekuwa ndiyo wameanza, yangetukuta kama yale ya Mbarali.
 
Konkoni ni mzigo wa mwiba Bora Yanga tungemsajili Yule Lupia wa Singida fountain gate.... Jamaa watu walimbeza kisa anacheza Ligi ya Kenya ... Lakini Yule jamaa ni mnoma.. ikiwezekana atue Jangwani dirisha dogo...
 
Ahueni waliingia baada ya timu kujihakikishia ushindi. Ingekuwa ndiyo wameanza, yangetukuta kama yale ya Mbarali.
Muda umefika sasa Gamondi atengeneze kikosi cha kwanza, haiwezekani tunaona kila siku kuna wachezaji wanapanda viwango, lakini wengine wanaporomoka kwa kasi na kushindwa kuendena na mfumo wa timu.
 
Kikosi cha Kwanza ndo kile kilichoanza sema mapungufu nayaona Kwa winga ya kushoto kuna muda unakuta hamna mtu....
Lakini pia pale beki wa Kati inabidi afanye kitu Gift Fredi awe anacheza
 
Kipimo kinakuja hata huyo Zawadi mtamkana
 
Ukisikia timu inashinda lakini mashabiki hawana furaha ndiyo kama hivi. Wachezaji walioingizwa kipindi cha pili wameenda kuiua kabisa timu.
Afadhali hata ya skudu.
 
Back
Top Bottom