FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Maneno mengi! Mwisho wa siku mkiani mwa kundi, kunawahusu.
Kuna memba alileta uzi kabisa kwamba wao ndo mabingwa,nilishangaa sana kama huyu jamaa anawaza vizuri ama kuna kitu haiko sawa
By the way tunawaombea ushindi kulingana na uwezo wao na siyo ushindi wa mdomoni na kujikweza.Mpira hauna siasa wala mbambamba u get what you deserve.
 
Back
Top Bottom