zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
ni vyema kujifari, safari hii unapigwa nje ndaniKinachoendelea now
Ndio kitawakuta hawa jamaa wakija kwa mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni vyema kujifari, safari hii unapigwa nje ndaniKinachoendelea now
Ndio kitawakuta hawa jamaa wakija kwa mkapa
Kamba ipi?Bocco Haram foward wetu hatari anatia mpira kambani
Ndoto za alinacha hiziKinachoendelea now
Ndio kitawakuta hawa jamaa wakija kwa mkapa
Na kweli naona leo kwenye mechi yenu.Kila mtu ashinde mechi zake
Haha ha haTupate nafasi gani ili tufunge?
Bocco ni mpumbavu, na yeyote atakekuja kumtetea hapa ni mpumbavu mwenzake.
Game ilikuwa wazi kabisaLeo tunaangusha points kwa ujinga wetu wenyewe.
Akiwafunga Ruvu goals 4 mnakuja hapa kumpamba kwa mapambioJenerali anamaliza zile nafasi
Bocco huyu amezeeka na kiwango sio kama kile cha zamani tena
Wivu tu unakutesabingwa wa assist uchwara
Sio wakuwaonea huruma hawa acha wafe wakishinda watakuambia unajipendekezaNawaonea huruma mechi ijayo, Raja Casablanca hawana masihala hata kidogo,kazeni mpate hata droo.
Jana wamecheza bila mashabiki Vipers kala 5.
Kwanini msiwafunge hapohapo kwao??Wakija kwa Mkapa hawa watapigwa kama Ngoma.
🫡 kwa Chama
Kwani leo Chama hayupo?Wakija kwa Mkapa hawa watapigwa kama Ngoma.
🫡 kwa Chama
Leo tupo Away sio yetuNa kweli naona leo kwenye mechi yenu.
Uhai wa kukosa.Ila kiukweli kabisa, forward ya simba imepata uhai baada ya Bocco kuingia.