FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Pia tusisahau leo kuna mechi kali ya hatua ya nusu fainali, Mashujaa cup kati ya Simba fc vs Kiluvya United.

Simba FC wakiwa wanalisaka kombe lao tatu msimu huu baada lile la ngao ya jamii na kombe la muungano, kama Simba itafanikiwa kuingia fainali leo hii basi itakuwa ni fainali yao ya nne ndani ya msimu mmoja, hakika ni mafanikio makubwa ndani ya msimu huu. Simba imeshacheza fainali tatu msimu huu ambayo nj ngao ya jamii, Mapinduzi cup na muungano cup.
Kwani Simba iligoma kushiriki kombe la diwani huko Tegeta? Ingeweza kuingia fainali 5.
 
Back
Top Bottom