Si kama nyie mlivyoshangilia Droo yetu na ihefu ππMuda wa makolo sasa kuja kushangilia droo yetu
Leo mwaaaasiii atapumzika kwenye uzi wake
Hawa vipi?
Mbona kama wanabusiana?
7-2 FC inatoshaInabidi uto tuinunue jkt tuuiite Singida Green stars
Hatimae umetoka mafichoniHawa vipi?
Mbona kama wanabusiana?
KuwaTulia weweπ
Mko nafasi ya ngapi kwenye ligi?Kuwa
Vyura kwenye shamba la mpunga mbona imekaa vizuri!?Viongozi wa Yanga waache ushamba, kupeleka timu kucheza kwenye shamba la mpunga ni ukosefu wa akili wa kiwango kikubwa na ndio matokeo yake haya
Sio 4 tu goli 10Pacome angekuwepo tungeshinda goli 4
Huna macho amaMko nafasi ya ngapi kwenye ligi?
Mapigo na MwendoWanajeshi wamevimba leo