Tumuunge mkono kijana wetu Feisal achukue kiatu uzalendo kwanzaKila la heri JKT
😂😁 Kuna nyingine nimekutag 😂😁Hii azam bhana
Ficha ujinga wako mkuuKama kuna mtu anafikiri Azam wanaweza chukua nafasi ya pili anapoteza muda wake. Matajiri wa Azam wanajua Azam ikicheza Champions league biashara itashuka, vile vile hawatafika popote. Kwa hiyo ni "kujivunja" tu.
Simba nao wanaitaka nafasi ya 3 kwa udi na uvumba ,wamechoka kuishia robo finaliKama kuna mtu anafikiri Azam wanaweza chukua nafasi ya pili anapoteza muda wake. Matajiri wa Azam wanajua Azam ikicheza Champions league biashara itashuka, vile vile hawatafika popote. Kwa hiyo ni "kujivunja" tu.
Azam FC sio Azam media kama ni taasisi moja uniambie kwanini wamedhamini ligi ambayo na wao wanashirikiKama kuna mtu anafikiri Azam wanaweza chukua nafasi ya pili anapoteza muda wake. Matajiri wa Azam wanajua Azam ikicheza Champions league biashara itashuka, vile vile hawatafika popote. Kwa hiyo ni "kujivunja" tu.
GoodSopu kafanya mambo tayari
Safi kabisa, waongeze mengine mawili ili tushuhudie hii vita ya nafasi ya pili itaishaje hadi raundi ya 30Sopu kafanya mambo tayari
Hamtaki nafasi ya pili?Sopu ana kimbelembele, bora angemuachia Feisal afunge