Wapi?Mods Wekeni LIVE
Mpira umeishaMods Wekeni LIVE
FeiMfungaji?
Kiatu ni cha kijana mzalendo feisali salumAs long as Yanga bingwa kiatu achukue yoyote
Ningependa kuona ule mtaa wa Msimbazi unaamia CAFCCAs long as Yanga bingwa kiatu achukue yoyote
Majukwaa ya chitchat ni mengi nitafute huko🤸Kwingine umepafunga
Chit chat ndio wapi??Majukwaa ya chitchat ni mengi nitafute huko🤸
Una miaka 9 humu jukwaa la chit chat na nyuzi zake huzijui?Chit chat ndio wapi??
Gede anacheza lini?? Garasa
Huko chiti chat naomba nipajue.Una miaka 9 humu jukwaa la chit chat na nyuzi zake huzijui?
Uzee m'baya!
Sijui kwakweliMfungaji?
Kwa hili tupo pamojaTumuunge mkono kijana wetu Feisal achukue kiatu uzalendo kwanza