FT: JKT Tanzania 1-2 Simba l NBC premier League | Novemba 08 2025

FT: JKT Tanzania 1-2 Simba l NBC premier League | Novemba 08 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
klabu ya Simba Sc itamenyana na JKT Tanzania katika mwendelezo wa ligi ya NBC leo, Novemba 08, 2025, katika uwanja wa Mej Jenerali Isamhyo majira saa 1 kamili usiku.

All the Best Simba Sc.
1762595619870.jpeg


1762614425778.png
 
Nimekaaa pale hawawezi kususa😆
 
tukomboe nchi kwanza maswala ya simba na yanga yametufikisha hapa.
 
Hivi kuna wapuuzi wanaenda kuangalia mpira kweli ? Simba na Yanga ni machawa na wanufaika wakubwa wa utawala... sema mitz vichwa maji yatajaa na kulipia viingilio
 
1-1
But uzi hauna watu kabisa
Hakika tuko pabaya
 
Goooooooooal simba anagongwa
Simba anakunjwa
Simba anabinywa
Simba analaliwa
Simba ananyanduliwa
Simba anawekwa
Simba analalwa
Jkt 1
Simba 1


Edward songo anawaweka jkt mifua mbele kwa kuingiza kichwa
Tate Mkuu njoo uone uku
 
Uzi hamna mwenye mda nao manyoko
 
Goooooooooal simba anagongwa
Simba anakunjwa
Simba anabinywa
Simba analaliwa
Simba ananyanduliwa
Simba anawekwa
Simba analalwa
Jkt 1
Simba 1


Edward songo anawaweka jkt mifua mbele kwa kuingiza kichwa
Tate Mkuu njoo uone uku
Ngapi ngapi Mkuu?
 
Back
Top Bottom