The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 855
- 1,454
Hatari sana huyo dogo,mwanzoni alivokuwa anachapa mpira kofi nikaona jamaa kama analeta ubishoo usio na maana,ila sasa nmemkubali kwasababu kila akifanya ufundi wake unakubali ball inatembea,salute sana kwakeHuyu Mourice Ibrahim ni sheeeda sana Wazee.
Hata zikimalizika maisha hayarudi kama zaman
Mmh.Hata zikimalizika maisha hayarudi kama zaman
Waunde kikosi cha marketingHata zikimalizika maisha hayarudi kama zaman