OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ngoma ipo live Fransictown Stadium Botswana. Matokeo ya mechi hii yana athari kwa nafasi ya Mnyama Simba Sc kutinga robo fainali.
9' JG 0-0 Waydad
9' JG 0-0 Waydad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hasibu tushushe dua el nino au dua el jua?Ngoma ipo live Fransictown Stadium Botswana. Matokeo ya mechi hii yana athari kwa nafasi ya Mnyama Simba Sc kutinga robo fainali.
9' JG 0-0 Waydad
Hayo hapolete matoke
WYdad 1-galaxy 040' JG 0-0 Wydad
HT JG 0-1 WydadWYdad 1-galaxy 0
Duh, ngoma nzito, Wydad kafufuka, anaweza kumpiga hata Asec....Simba mechi ya mwisho ni lazima ashinde, hata kwa bundukiWYdad 1-galaxy 0
Hata akimfunga Asec kinachotakiwa Simba ashinde mechi ya mwishoDuh, ngoma nzito, Wydad kafufuka, anaweza kumpiga hata Asec....Simba mechi ya mwisho ni lazima ashinde, hata kwa bunduki
Hapo ndipo kazi ilipo ikizingatiwa Simba haina wafungajiHata akimfunga Asec kinachotakiwa Simba ashinde mechi ya mwisho
Mpira unaisha kwa sare huoHT JG 0-1 Wydad
Saivi atakuja na kauli kuwa Yanga imetupia majini kwake na kwa timu yake mpya ili wasifuzu klabu bingwaLubumbashi imekuwa ya uchungu kwa Mayele na wenzake View attachment 2914822